Pata taarifa kuu
UFARANSA-COTE D'IVOIRE-SORO-

Guillaume Soro matatani Ufaransa

Wengi wanajiuliza kwa sasa aliko spika wa zamani wa bunge la Cote d'Ivoire, Guillaume Soro. Maswali haya yanakuja baada ya neneo dogo lililotolewa na jana na rais wa Ufaransa Emmanuel Macron katika gazeti la kila siku la "Jeune Afrique".

Guillaume Soro (picha ya kumbukumbu).
Guillaume Soro (picha ya kumbukumbu). ISSOUF SANOGO / AFP
Matangazo ya kibiashara

Rais wa Ufaransa alisema "ninaamini kuwa hayuko tena nchini Ufaransa". Washirika wa karibu wa waziri mkuu wa zamani wa Cote d'Ivoire hawakutaka kusema chochote kuhusiana an madaia hayo. Kwa uhakika ni kwamba Ufaransa haimtaki tena kwenye ardhi yake

Guillaume Soro sasa hahatakiwa kwenye ardhi ya Ufaransa.

Emmanuel Macron alibaini jana katika mahojiano na wenzetu kutoka gazti la Jeune Afrique: "Haipaswi kusababisha machafuko na kuwa kwake hapa nchini hakutakiwa, ikiwa ataenbdelea na tabia hii, "alisema rais wa Ufaransa, akimaanisha wito aliotoa kuhusu kuanzishwa kwa uasi nchini Cote d'Ivoire.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.