Pata taarifa kuu
MALI-VYOMBO VYA HABARI

Vituo 47 vya redio binafsi kufungwa nchini Mali

Nchini Mali, vituo 47 vya redio binafsi vitafungwa kwa ajili ya "kutoheshimu sheria". baadhi ya vituo vya redio na televisheni vimefungwa katika nchi nyingi barani Afrika, ikiwa ni pamoja na Tanzania na Gambia.

Vituo kadhaa vya redio na televisheni vimefungwa katika nchi mbalimbali Afrika.
Vituo kadhaa vya redio na televisheni vimefungwa katika nchi mbalimbali Afrika. Christophe Carmarans / RFI
Matangazo ya kibiashara

Mamlaka ya Juu ya Ukaguzi wa vyombo vya habari haijatoa maelezo juu ya tarehe ya mwisho, au sheria iliyokiukwa kwa vituo vya redio husika.

Muungano wa redio na televisheni binafsi nchini Mali (Urtel) wameshutumu, tangazo hilo.

Urtel imeoiomba mamlaka tarehe ya mwisho ya kupelekea vituo hivi kuzingatia sheria.

Vyombo hivi vya habari vinatuhumiwa na Mamlaka ya Juu ya Ukaguzi wa vyomvo vya habari (HAC), "kutoheshimu sheria".

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.