Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Mitazamo ya vijana kuhusu sikukuu ya vijana duniani

Imechapishwa:

Leo ni siku ya vijana duniani.Ni siku ya kutafakari juu ya changamoto na mafanikio ya vijana. Kauli mbiu ya mwaka huu kwa mujibu wa umoja wa mataifa ni mchango wa vijana kufanikisha malengo endelevu kufikia mwaka 2030, ikiwa ni pamoja na kutokomeza umasikini.Je, wewe ni kijana ? Unazungumzia vipi siku hii ? Ina manufaa kwako ? Nchini mwako, vijana wana mchango gani na wewe kama kijana unaona una mchango gani kwa nchi yako.Ungana na mwandishi wetu Edmond Lwangi Tcheli kusikiliza zaidi.

Baadhi ya Vijana wa Kenya
Baadhi ya Vijana wa Kenya Rfi-Kiswahili
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.