Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Viongozi wa AU kukutana Addis Ababa, mjumbe wa umoja wa afrika kukutana na wanasiasa DRC

Imechapishwa:

Katika makala hii tunaangazia mkutano wa viongozi wa umoja wa afrika AU jijini Addis Ababa kujadili uwezekano wa kutuma wanajeshi wa kulinda usalama wa wananchi mjini Bujumbura, nchini Burundi,Pia utasikia mchakato wa uchaguzi mkuu unaoandaliwa nchini Jamhuri yakidemokrasia ya congo, pamoja na mvutano kuhusu mazungumzo yaliyopendekezwa na rais Joseph Kabila huku kukiwa na vuta nikuvute kuhusu kufanyika uchaguzi huo.Tumegusia pia matukio kadhaa duniani ya wiki hii, ambayo msikilizaji utasikia katika makala ya wiki hii.Karibu.

Sayari ya dunia
Sayari ya dunia
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.