Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Rais Omar Al Bashir wa Sudan kuagizwa kutoondoka nchini Afrika kusini, watu 9 kuuawa mjini Charleston Marekani

Imechapishwa:

Katika makala hii, kwa juma hili tunaangazia agizo lililotolewa na mahakama moja nchini Afrika kusini ya kutoondoka nchini humo baada ya mahakama ya kimataifa ya ICC iliyoko the Hague nchini uholanzi kushirikiana na mahakama hiyo kutaka asafirishwe hadi Pretoria kusikilizwa kesi dhidi yake, baada ya ICC kutuma waranti ili akamatwe.Licha ya juhudi hizo kufanywa namna hiyo, Bashir alisafiri hadi nyumbani kwake Khartoum.Mbali na hiyo tumeangazia pia matukio muhimu katika juma hili, kwenye mataifa ya Tanzania, Kenya, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Burundi, wakati kimataifa tukio la mauaji ya watu tisa ndani ya kanisa la kimethodisti huko Charlstone kusini nchini Marekani.Karibu kuungana nami Ruben Lukumbuka, kusikiliza makala haya.kimataifa 

Sayari ya dunia
Sayari ya dunia
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.