Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Umoja wa mataifa waionya Burundi kuelekea kwenye hatari ya vurugu na vitisho

Imechapishwa:

Katka makala hayajuma hili, umoja wa mataifa uliionya serikali ya Burundi kuwa makini kufwatia hatari inayoinyemelea nchi hiyo ya kutumbukia katika machafuko endapo viongozi wa kisiasa hawatalivalia njuga wimbi la kisiasa linaloanza kuongezeka, wakati nchi hiyo ikielekea kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi juni mwa huu wa 2015.Kugunduliwa kwa kaburi la pamoja katika kitongoji cha maluku ncje kidogo ya jiji la Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kuzusha tafrani kati ya wanasiasa wa vyama vinavyomuunga mkono rais Joseph Kabila na Upinzani,wakati kimataifa katibu mkuu wa umoja wa mataifa ban ki Moon aliyatolea wito makundi yanayopigana nchini yemen kustisha mara moja mapigano, lakibi bila mafanikio.Ungana nami Reuben Lukumbuka kusikiliza makala haya,...

Sayari ya dunia
Sayari ya dunia
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.