Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Nigeria imeshindwa kuwamaliza wanamgambo wa Boko Haram ?

Imechapishwa:

Jumanne hii katika Makala ya Habari Rafiki, tunajiuliza je,  serikali ya Nigeria imelemewa na  kundi la kigaidi la Boko Haram ?Katika mashambulizi ya hivi karibuni, kundi hilo limetekeleza shambulizi la  kujitoa mhanga katika Shule moja ya Wavulana Kaskazini mwa nchi hiyo na kusababisha vifo vya wanafunzi 47.Sikiliza maoni ya baadhi ya wasikilizaji wa RFI Kiswahili siku ya Jumanne.

Wanagambo wa Boko Haram
Wanagambo wa Boko Haram AFP PHOTO / BOKO HARAM
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.