Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Soka: Ebola na kombe la mataifa bingwa barani Afrika mwaka 2015

Imechapishwa:

Mjadala unaendelea barani Afrika, ikiwa michuano ya soka kuwania taji la mataifa bingwa barani Afrika nchini Morroco ihairishwe kutokana na ugonjwa hatari wa Ebola.Wenyeji wa michuano hiyo itakayoanza mapema mwezi Januari mwakani imeomba michuano hiyo kuahirishwa kwa muda wa miezi mitatu lakini Shirikisho la soka barani Afrika CAF limesema, michuano hiyo itaendelea kama ilivyopangwa.Sikiliza maoni ya wasikilizaji wa Afrika Mashariki na Kati.

REUTERS/Sergio Perez
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.