Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mtuhumiwa wa mauaji ya watawa watatu wa kiitaliano huko Burundi akamatwa, DRC-katibu Mkuu wa chama cha UNC ahukumiwa mwaka mmoja Jela

Imechapishwa:

Ni juma lililoanza na simanzi kwa raia wa Burundi kufwatia mauaji ya watawa watatu raia wa Italia katika wilaya ya Kamenge nchini humo, huku polisi ikikiri kumkamata mtuhumiwa wa mauaji, nchini Somalia shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la human rights watchs ilitoa ripoti yake ikiwatuhumu wanajeshi wa umoja wa Afrika wa kulinda amani huko Somalia AMISOM kuhusika na vitendo vya kuwarubuni wanawake kuwa kuwapa chakula ili kufanya nao ngono, wakati nchini DRCongoTume ya umoja wa mataifa nchini DRC kuelezea kutamatisha maandalizi ya ujenzi wa kambi eneo watakakopelekwa wapiganaji wa FDRL huko Kisangani Province oriental.Na Katika uga wa kimataifa, nchi za kiarabu kuunga mkono juhudi za Marekani katika  kukabiliana na ugaidi katika mashariki ya kati.

Sayari ya dunia
Sayari ya dunia
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.