Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Al Shabab wazidi kubanwa SOMALIA

Imechapishwa:

Majeshi ya umoja wa Afrika ya kulinda amani nchini Somalia, AMISOM kwa kushirikiana na majeshi ya Serikali ya Somalia hivi karibuni yaliendesha mashambulizi na kufanikiwa kuuteka mji wa Jalalaqsi, ambao ulikua ukishikiliwa na kundi la kigaidi la Al Shabab linalohusiana na kundi la kigaidi la Al Qaeda.Kutekwa mji huo wa Jalalaqsi ulioko kilometa 150 kaskazini mwa mji mkuu wa Somalia, Mogadishu kumekuja siku chache baada ya Marekani kufanya shambulizi la ndege zisizo na rubani katika ngome moja ya kundi la Al Shabab. Ungana na Victor Robert Wile katika makala ya Wimbi la Siasa kuangazia hali ya mambo nchini Somalia.

Al Shabab yaendelea kupoteza viongozi wake nchini Somalia.
Al Shabab yaendelea kupoteza viongozi wake nchini Somalia. REUTERS/Feisal Omar
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.