Maadhimisho ya miaka 54 ya Uhuru wa DRC lakini pia Kesi ya Raisi wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy.
Imechapishwa:
Cheza - 21:44
Ni mengi tu yaliyojitokeza Barani Afrika wiki hii, Mataifa kama jamhuri ya kidemokrasia ya congo DRC, Rwanda, na Burundi kusherehekea maadhimisho ya uhuru wa nchi zao hizo!Umoja wa mataifa kulalamikia hali duni ya watoto nchini Sudan, Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy kuhojiwa kutokana na tuhuma za kufanya ushawishi kuhusu kesi inayochunguzwa ya matumizi mabaya ya fedha katika uchaguzi uliopita.Lakini pia Hatua ya raisi Petro Poronshenko wa Ukraine kujiapiza kuendelea na makabiliano dhidi ya wapiganaji wanaoungwa mkono na urusi; ni baadhi ya yale yaliyopewa uzito katika habari zetu juma hili;Karibu Kuungana nami Reuben Lukumbuka.