Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Wananchi wa wazungumzia ubingwa wa Zambia Kombe la Mataifa ya Afrika

Imechapishwa:

Ushindi wa timu ya Taifa ya Zambia dhidi ya Cote D' Ivoire katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika ambayo yamemalizika hapo jana, umeamsha kimasomaso na butwaa kwa mashabiki wengi wa soka hususan barani Afrika, hii leo katika habari rafiki tutashirikishana shangwe hizo na butwaa, lakini pia siri ya ushindi wa Zambia Chipolopolo.Ungana na mtayarishaji na msimulizi wa makala haya Sabina Nabigambo................ 

.
. Reuters
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 10:06
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.