Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mgomo mkubwa wa wafanyakazi nchini Nigeria waendelea kupinga nyongeza ya ruzuku katika mafuta iliyotangazwa na serikali

Imechapishwa:

Mtangazaji wa makala ya mtazamo wako kwa yaliyojiri wiki hii, leo amekuandalia mengi lakini bado kubwa kwa juma la pili mfululizo ni mgomo wa wafanyakazi nchini Nigeria wakishinikiza serikali kubadili uamuzi wake wakuongeza ruzuku kwenye nishati ya mafuta.

Wananchi wa Nigeria wakiandamana kupinga Ruzuku ya mafuta iliyoongezwa na serikali
Wananchi wa Nigeria wakiandamana kupinga Ruzuku ya mafuta iliyoongezwa na serikali REUTERS/Akintunde Akinleye
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.