Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/10 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/10 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/10 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Siasa - Uchumi

Aliyekua rais wa Brazil apigwa marufuku kuwania urais

media Aliye kuwa rais wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva, anashtumiwa kupewa hongo na shirika la mafuta la serikali la Petrobas. REUTERS/Paulo Whitaker

Rais wa zamani wa Brazil Luiz Inacio "Lula" da Silva amepigwa marufuu kuwania urais wakati wa Uchaguzi Mkuu mwaka huu, baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya ufisadi.

Hatua hii imekuja baada ya Mahakama ya Rufaa kushikilia hukumu ya ufisadi dhidi yake na kuongeza kifungo chake jela kutoka miaka miaka tisa hadi miaka 12 na mwezi mmoja.

Rais huyo wa zamani ameendelea kukanusha kuwa alijihusisha na ufisadi na kuongeza kuwa, ameendelea kulengwa kisiasa.

Wafuasi wake wamasema Uchaguzi wa mwezi Oktoba bila Lula, sio uchaguzi. Wachambuzi wa siasa wanasema iwapo angewania anaweza kushinda.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana