Imekuwa ni miaka miwili tangu kuanza mzozo wa kisiasa nchini Burundi, baada ya rais Pierre Nkurunziza kutangaza kuwania urais kwa muhula wa tatu kinyume na mkataba wa kisiasa wa Arusha. Mashirika ya kutetea haki za binadamu yanasema kuwa watu bado wanauawa, kukamatwa, kutekwa na kuzuiwa lakini serikali jijini Bujumbura inasema amani imerejea nchini humo.Tunachambua.