Nyumba ya Sanaa
Misambano;Wanamuziki wa sasa wanachangia Taarabu Kudorora
Imechapishwa:
Cheza - 19:56
Sanaa ya Muziki wa taarab ilishamiri sana katika nchi za Afrika mashariki miaka ya 1990 ingawaje katika nchi ya Burundi inaelezwa kuwa Watanzania ndio waliowaibua wasanii wengi nchini humo.Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa, akizungumza na Abdul Misambano msanii wa Muziki wa Taarab akiwa ni Miongoni mwa wasanii walisaidia kuikuza sanaa hiyo katika nchi za Afrika Mashariki.