Nyumba ya Sanaa
Zawose;Muziki wa asili umeniwezesha kuwa Maarufu Afrika Mashariki
Imechapishwa:
Cheza - 20:12
Sinaubi Zawose ni kijana wa Kitanzania anayefanya Muziki wa asili akitokea katika familia yenye historia ya Muziki wa asili ya Kigogo sasa ameazimia kuufikisha Muziki huo mbali zaidi.Zawose amezungumzia safari yake ya kimuziki katika Makala ya Nyumba ya Sanaa, Ungana na Steven Mumbi katika Makala haya ya Nyumba ya Sanaa.