Pata taarifa kuu
Nyumba ya Sanaa

Mwigune;Muziki wa Jukwaani Unalipa,Vijana tujikite

Imechapishwa:

Tulizo Bendi inaundwa na vijana wa Kitanzania waliojitoa kufanya Muziki wa majukwaani,na kubadili mtizamo wa kuwa muziki ni uhuni na sasa kuwa sehemu ya maisha kwa kujikimu.Steven Mumbi anazungumza na James Mwigune Kiongozi wa Bendi hiyo inayofanya shughuli za kimuziki nchini Tanzania

Wasanii wa Tulizo Bendi baada ya Tamasha
Wasanii wa Tulizo Bendi baada ya Tamasha Mwigune James/Picha
Vipindi vingine
  • 20:09
  • 20:03
  • 20:03
  • 20:07
  • 20:10
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.