Tulizo Bendi inaundwa na vijana wa Kitanzania waliojitoa kufanya Muziki wa majukwaani,na kubadili mtizamo wa kuwa muziki ni uhuni na sasa kuwa sehemu ya maisha kwa kujikimu.Steven Mumbi anazungumza na James Mwigune Kiongozi wa Bendi hiyo inayofanya shughuli za kimuziki nchini Tanzania
Vipindi vingine
-
Wiki hii makala haya yanamuangazia Steven Ibrahim maarufu Eddy Music
Sanaa ya Muziki imenihitaji kuliko nilivyo ihitaji, ni kauli yake Steven Ibrahim maarufu Eddy Music alipozungumza na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.Β Β04/05/202420:03 -
Muziki wa injili na Obby Alpha ambaye ametunga vibao kama bora kushukuru
Msani huyo amesema kuwa alitunga vibao kama bora kushukuru kutokana na changamoto za kimaisha alizokuwa anakabiliwa nazo kipindi fulani katika maisha yake.27/04/202420:02 -
Zanzibar: Fahamu zaidi kuhusu Muziki wa Baibuda katika makala haya
Mwandishi wetu Steven Mumbi amezungumza na msani wa muziki huu wa BaibudaΒ13/04/202420:09 -
Afrobongo na Bruce Africa
Makala haya hukuletea historia ya sanaa na wasani barani Afrika.06/04/202420:03 -
Sanaa ya muziki wa kizazi kipya na Sam Silver
Sam SilverΒ anazungumza naye Steve Mumbi katika makala ya Nyumba ya Sanaa wiki hii.30/03/202420:03