Nyumba ya Sanaa
Natasha;Utunzi wa Filamu Umepiga hatua kubwa nchini Tanzania
Imechapishwa:
Cheza - 20:28
Uigizaji nchini Tanzania umekuwa na Historia ndefu na Waigizaji wamepitia vipindi tofauti tofauti licha ya changamoto zilizopo lakini bado filamu za kiswahili zimeendelea kustawi.Ungana na Steven Mumbi katika Makala haya akizungumzia sanaa ya uigizaji wa Filamu za Kiswahili.