Muziki Ijumaa
Charly na Nina wanamuzuki wa Kike nchini Rwanda wanaopata mafaanikio makubwa
Imechapishwa:
Cheza - 12:03
Juma hili, Ali Bilali anakupeleka nchini Rwanda ambako anawazungumzia wanamuziki wawili wa Kike Charly na Nina ambao wameendelea kufanya vizuri kila uchao kiasi cha kualikwa huku na kule duniani. ambatana naye kusikiliza na kufaham mengi zaidi kuhusu wanamuziki hawa.