Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 28/04 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 28/04 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 27/04 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Sanaa ya lugha katika uandishi wa vitabu

Sanaa ya lugha katika uandishi wa vitabu
 
Fredric Bundala mwandishi wa habari na mtunzi wa kitabu "Handaki la Kifo" Sabina/rfikiswahili

Katika makala haya kutana na Fredric Bundala mwanahabari na mwandishi wa kitabu "Handaki la Kifo"kutoka Tanzania akisimulia namna alivyofanikiwa kufikisha ujumbe kwa jamii kupitia sanaa ya Lugha ama fasihi.

Karibu

 • Muziki wa live

  Muziki wa live

  Katika makala haya utafahamu kuhusu muziki wa live na namna ya kutunza sauti kutoka kwa mwanamuziki anayekua kutoka Tanzania  Rajab Said maarufu Rijovoice na mshindi …

 • Muziki wa reggae katika kuhubiri amani

  Muziki wa reggae katika kuhubiri amani

  Katika makala haya tutasikia mahojiano yetu na mwanamuziki Mack el Sambo kutoka Goma DRC akielezea namna muziki wa rege unavyotumika kuhubiri amani, karibu

 • Kutana na Tumainisia Shao katika sanaa ya uimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania

  Kutana na Tumainisia Shao katika sanaa ya uimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania

  Mbali ya kujishughulisha na uimbaji wa nyimbo za Injili ni mjasiriamali mwenye ndoto lukuki za kutimiza katika maisha yake.Leo ametembelea nyumba ya sanaa ya RFIKISWAHILI.Ambatana …

 • MUZIKI WA ASILI

  MUZIKI WA ASILI

  Katika makala haya unapata fursa ya kumfahamu kwa kina msanii kijana Isaack Abeneko akielezea safari yake ya muziki wa asili, changamoto na faida alizopata katika muziki …

 • Mfahamu Hassan Mbangwa muongoza video za waimbaji maarufu wa muziki wa Injili Tanzania

  Mfahamu Hassan Mbangwa muongoza video za waimbaji maarufu wa muziki wa Injili Tanzania

  Makala ya nyumba ya sanaa inaangazia sanaa ya utengenezaji wa video na sinema nchini Tanzania.Hassan Mbangwa alijizolea  umaarufu nchini Tanzania kupitia kazi zake …

 • Sanaa ya ushonaji wa kudarizi

  Sanaa ya ushonaji wa kudarizi

  Katika makala haya msikilizaji utafahamu kwa kina kuhusu sanaa ya ufundi wa kudarizi, mahitaji na faida zake, usikose kusilikiza

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana