Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Ukeketaji dhidi ya wanawake Barani Afrika

Imechapishwa:

Ukeketaji dhidi ya wanawake ni miongoni mwa matatizo yanayoukabili nchi nyingi barani Afrika. Ni tatizo ambalo kwa kiasi kikubwa limekuwa likirudisha nyuma maendeleo ya mwanamke na pia hata ustawi wa watoto wa kike kwa ujumla.Wakati leo ni siku ya kupambana na ukeketaji duniani, Je unadhani tatizo ni nini msikilizaji wetu ambalo limechangaia vitendo hivi vya kikatili kuendelea kushudia katika jamii zetu?je serikali pamoja na mashirika ya kutetea haki za binadamu katika ukanda huu wa Afrika mashariki wamefanya jitianda za kutosha kupambana na Ukeketaji,kipindi cha habri rafiki kinangazi juu ya hilii

Ana kokarin yi wa wata yariya Kaciya a kasar Sudan.
Ana kokarin yi wa wata yariya Kaciya a kasar Sudan. via World Pulse
Vipindi vingine
  • 09:48
  • 09:57
  • 09:31
  • 10:08
  • 09:31
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.