Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 22/05 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 21/05 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 21/05 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Ukeketaji dhidi ya wanawake Barani Afrika

Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Ukeketaji dhidi ya wanawake Barani Afrika
 
Ana kokarin yi wa wata yariya Kaciya a kasar Sudan. via World Pulse

Ukeketaji dhidi ya wanawake ni miongoni mwa matatizo yanayoukabili nchi nyingi barani Afrika. Ni tatizo ambalo kwa kiasi kikubwa limekuwa likirudisha nyuma maendeleo ya mwanamke na pia hata ustawi wa watoto wa kike kwa ujumla.

Wakati leo ni siku ya kupambana na ukeketaji duniani, Je unadhani tatizo ni nini msikilizaji wetu ambalo limechangaia vitendo hivi vya kikatili kuendelea kushudia katika jamii zetu?je serikali pamoja na mashirika ya kutetea haki za binadamu katika ukanda huu wa Afrika mashariki wamefanya jitianda za kutosha kupambana na Ukeketaji,kipindi cha habri rafiki kinangazi juu ya hilii

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana