Pata taarifa kuu
Nyumba ya Sanaa

Tasnia ya filamu katika ulingo wa sanaa nchini DRC yachambuliwa na msanii Cyrille Ngondole

Imechapishwa:

Katika makala ya Nyumba ya sanaa juma hili, Mtayarishaji wetu ameangazia tasnia ya filamu Mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo katika muktadha wa baada ya vita vya muda mrefu ambapo amehojiana na msanii wa filamu Cyrille Ngondole akiwa mjini Goma.

Ulimwengu wa Digitali umeikuza sekta ya filamu
Ulimwengu wa Digitali umeikuza sekta ya filamu www.bigcitypix.com
Vipindi vingine
  • 20:09
  • 20:03
  • 20:03
  • 20:07
  • 20:10
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.