Habari za Ulaya
RSS - Ulaya-
Hatma ya Uingereza kujulikana baada ya uchaguzi
Wananchi wa Uingereza hivi leo wanapiga kura katika uchaguzi mkuu wa tatu kufanyika chini ya miaka mitano, uchaguzi ambao unatajwa kuwa …
-
Kampeni zaingia katika kipindi cha lala salama nchini Uingereza
Kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Uingereza unaotarajiwa kufanyika Alhamisi ya wiki hii zimeingia hatua ya lala salama huku waziri mkuu …
-
Mgomo dhidi ya Mageuzi ya hazina ya uzeeni waendelea Ufaransa
Usafiri wa umma, umeendelea kwa siku ya pili leo Ijumaa nchini Ufaransa, baada ya kuanza kwa mgomo wa wafanyakazi katika sekta mbalimbali …
-
Mgomo mkubwa wazorotesha shughuli katika sekta mbalimbali Ufaransa
Ufaransa imekumbwa na mgomo mkubwa wa wafanya kazi ambao hayajawahi kushuhudiwa kwa miaka mingi nchini humo, mgomo ambao umeathiri sekta …
-
Mauaji ya raia mmoja wa Georgia Berlin: Ujerumani yawafukuza wanadiplomasia…
Ujerumani imechukuwa uamuzi wa kuwafukuza wanadiplomasia wawili wa Urusi kwa sababu ya mamlaka ya Moscow kukataa kushirikiana katika …
-
NATO yajaribu kuweka mambo sawa baada ya tofauti zilizojitokeza
Viongozi kutoka mataifa ya Magharibi yanayounda jeshi la pamoja la kujilinda NATO, wanatarajiwa kujaribu kuzungumza kwa sauti mmoja …
-
Trump amshambulia Macron kwa kukejeli NATO
Rais wa Donald Trump amemshambulia Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kabla ya mkutano wa maadhimisho ya miaka 70 ya NATO na kutusi mkutano …
-
Usalama: Viongozi wa NATO wakutana kwa mazungumzo London
Viongozi kutoka nchi zinazounda Umoja wa jeshi la kujihami kwa nchi za Magharibi NATO, wanakutana jijini London kujadili masuala …
-
Almasi "zenye thamani isiyojulikana" zaibwa katika jumba la makumbusho Ujerumani
Vito vitatu vya almasi vya karne ya 18 "vyenye thamani isiyojulikana" vimeibiwa katika jumba la makumbusho katika mji wa Dresden, nchini …
-
Mkutano wa Pili kuhusu Amani wafunguliwa Paris
Viongozi mbalimbali wa dunia wanakutana jijini Paris nchini Ufaransa, kujadili masuala kuhusu mabadliko ya hali ya hewa, usalama na …
-
Boris Johnson na mpinzani wake mkuu Jeremy Corbyn wanadi sera zao
Waziri mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, amezindua rasmi kampeni za chama chake cha Conservative katika mji ambao kihistoria, ni ngome ya …
-
Emmanuel Macron atangaza makubaliano kati ya China na EU kuhusu PGI
Kando na ziara yake nchini China, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kwamba Umoja wa Ulaya na China zitatia saini Jumatano hii …
-
Wabunge wa Uingereza waunga mkono uchaguzi wa mapema wa Desemba 12
Wabunge wa Uingereza wamepiga kura Jumanne wiki hii na kupitisha mpango wa Waziri Mkuu Boris Johnson wa kufanyika kwa uchaguzi wa mapema …
-
Uchaguzi wa mapema Uingereza: Johnson aendelea kutafuta uungwaji mkono
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson anatarajia kujaribu tena leo Jumanne kupata uungwaji mkono kuhusu uchaguzi wa mapema mwezi Desemba …
-
Hatma ya Uingereza kujulikana Ijumaa hii
Mabalozi kutoka mataifa ya Umoja wa Ulaya wanakutana leo, kujadili hatima ya Uingerereza katika Umoja huo na kuamua nchi hiyo iongezewe …