Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/01 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/01 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/01 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Ulaya

NATO yajaribu kuweka mambo sawa baada ya tofauti zilizojitokeza

media Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron akikutana na rais wa Marekani Donald Trump pembezoni mwa mkutano huo, ameonekana kutofurahishwa kuhusu vita dhidi ya makundi ya kigaidi kama Islamic State. Ludovic Marin/Pool via REUTERS

Viongozi kutoka mataifa ya Magharibi yanayounda jeshi la pamoja la kujilinda NATO, wanatarajiwa kujaribu kuzungumza kwa sauti mmoja wanapokutana leo Jumatano jijini London nchini Uingereza.

Kuelekea katika kikao hiki muhimu, viongozi mbalimbali kutoka mataifa ya NATO, wameonekana kutofautiana kuhusu majukumu yao katika jeshi hilo hasa kuhusu operesheni za kiusalama dhidi ya magaidi.

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron akikutana na rais wa Marekani Donald Trump pembezoni mwa mkutano huo, ameonekana kutofurahishwa kuhusu vita dhidi ya makundi ya kigaidi kama Islamic State.

Jumanne wiki hii Rais wa Marekani alimkosoa Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kwa kusema Nato ni 'ubongo uliokufa'.

Bwana Macron alielezea muungano huo kama "ubongo uliokufa", akisisitiza kile anachokiona kama kutokuwa na utashi wa mdhamini mkuu, Marekani.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana