Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 15/11 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 15/11 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 15/11 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Ulaya

Barnier: Msimamo wa Umoja wa Ulaya kuhusu makubaliano ya Brexit hautobadilika

media 欧盟负责英国退欧事务谈判的首席代表巴尼耶。 Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya kuhusu mazungumzo ya namna ya Uingereza kujiondoa kwenye Umoja wa Ulaya, Michel Barnier, katika mkutano na waandishi wa habari, Brussels, Ubelgiji Novemba 19, 2018. 路透社。

Michel Barnier, mwakilishi wa Umoja wa Ulaya kuhusu mazungumzo ya namna ya Uingereza kujiondoa kwenye Umoja wa Ulaya, amesema Umoja huo hautabadilisha makubaliano yaliyokubaliwa hapo awali na Uingereza kuhusu kujiondoa kwake.

Wabunge nchini Uinegereza wanarejea bungeni wiki hii, wakiwa na lengo la kuzuia nchi hiyo kujiondoa kwenye Umoja wa Ulaya, bila ya mkataba.

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson anaamini kuwa bado kuna uwezekano wa kupatikana kwa makubaliano kati yake na viongozi wa Umoja wa Ulaya.

“Wabunge wakiendelea na msimamo wao wa kuzuia tusiondoke, bla mkataba, huenda ikawa hivyo, na kitu bora cha kufanya ni kuhakikisha kuwa, tunaendelea kungumza na mwenzetu wa Umoja wa Ulaya, kwa msisitizo na kutokata tamaa na hicvho ndichi tunachofanya”, “ amesema Bw Johson.

Kauli hii imekuja, wakati huu wabunge nchini Uingereza wanapotarajiwa kurejea bungeni wiki ijayo kujadili suala hili.

Bernier amesema, makubaliano ya kuuwacha mpaka wa Ireland Kaskazini kuwa, wazi, hata baada ya Uingereza kujiondoa mwisho wa mwezi ujao, hayawezi kubadililishwa licha ya wito kutoka kwa Waziri Mkuu Boris Johnson.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana