Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/07 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/07 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/07 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Ulaya

Wabunge wapiga kura dhidi ya mapendekezo mbadala ya makubaliano ya Brexit

media John Bercow, Spika wa baraza la wawakilishi akitangaza matokeo ya uchaguzi wa mapendekezo manne mbadala kwa makubaliano ya Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya yaliyofikiwa kati ya serikali yaUingereza na Brussels, London, 1 Aprili 2019. Reuters TV via REUTERS

Bunge la Uingereza limepiga kura dhidi ya mapendekezo manne mbadala kwa makubaliano ya Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya, yaliyofikiwa kati ya serikali ya nchi hiyo na Brussels, mkataba ambao tayari wamefutilia mbali mara tatu.

Baada ya kupiga kura dhidi ya mapendekezo 8 mbadala wiki iliyopita, wabunge wamefutilia mbali mapendekezo mapya ambayo yamekuwa yamependekeza kuendelea na uhusiano wa karibu na Umoja wa Ulaya au kusitisha mchakato wa kujitoa katika Umoja wa Ulaya bila mkataba Aprili 12.

Waziri wa masuala ya Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya, Stephen Baclay, amesikika akisemakuwa kufuatia hali hiyo inayoendelea kujitokeza, kunahatari Uingereza ijitoe katika Umoja wa Ulaya bila mkataba ndani ya siku kumi na moja zijazo.

Wadadisi wanasema kujitoa kwa Uingereza kumechangiwa kwa sehemu kubwa na kile ninachoendelea Ulaya ambapo baadhi ya wanasiasa wamekuwa na tabia ya kupenda siasa za kihafidhina, za uzalendo , kuzuia mwingiliano na wengi hasa wanaotoka nje ya Ulaya.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana