Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 05/12 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 05/12 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 05/12 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Ulaya

Theresa May ajikuta kwenye wakati wakati mgumu

media Theresa May amezuru ngome ya wafuasi wa wanaotaka Uingereza kujitoa kwenye Umoja wa Ualaya huko Stoke-on-Trent, Januari 14, 2019. Ben Birchall/Pool via REUTERS

Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May, amekuwa katika harakati za lala salama, kuwashawishi wabunge kuunga mkono mkataba uliofikiwa kati ya nchi hiyo na Umoja wa Ulaya, kuhusu namna nchi hiyo itakavyokuwa baada ya kujiondoa kwenye umoja huo mwezi Machi.

Wabunge wanatarajiwa kupigia kura mswada huo siku ya Jumanne wiki hii huku kukiwa na wasiwasi kuwa huenda wakaukataa.

May amesema iwapo, wabunge wataukataa mkataba huo, itamaanisha kuwa wanataka nchi hiyo isalia kwenye Umoja wa Ulaya.

Viongozi wa Umoja wa Ulaya, wamesema hawewezi kuja tena katika meza ya mazungmzo kujadili upya mkataba huo.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana