UFARANSA-SIASA
Ufaransa: Christophe Castaner akabidhiwa funguo za wizara ya mambo ya ndani
Wiki mbili baada ya Gerard Collomb kujiuzulu kwenye nafasi ya waziri wa mambo ya ndani nchini Ufaransa, hatimaye Christophe Castaner amekabidhiwa fungo za wizara hiyo na kushikilia nafasi ambayo Waziri Mkuu Edouard Philippe amekuwa akikaimu.
Imechapishwa:
Matangazo ya kibiashara
Zoezi la kukabidhiana madaraka limefanyika Jumanne wiki hii.
Hata hivyo Waziri Mkuu Edourad Philippe alitaka nafasi hiyo ishikiliwe na Gérald Darmanin.
Lakini wawili hawa "wanaaminiana" kwa mujibu wa Waziri Mmambo mengi. Na nina uhakika kuwa umejihami vizuri kwa kutekeleza majukumu haya. "
Christophe Castaner, mwenye umri wa miaka 52 ameteuliwa kwa idhini ya rais wa Emmanuel Macron.