Maombolezo ya kifo cha mwanamuziki Charles Aznavour
wananchi wa Ufaransa wanaomboleza kifo cha mwanamuziki Mkongwe Charles Aznavour aliefariki hivi majuzi akiwa bafuni. Charles Aznavour ambae alikuwa tayari na umti wa miaka 84 anafanyiwa mazishi ya kitaifa hii leo baada ya serikali ya Ufaransa kuafikiana na familia ambayo ilikuwa haitaki hilo. kufahamu mengi zaidi kuhusu mwanamuziki huyo ambatana naye Ali Bilali katika Makala haya, usikose pia kumfollow kwa Instagram kwa kuandika @billy_bilali