sikiliza tena
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Matukio tuliyoyapa uzito wiki hii duniani
Rais wa DRC Felix Tshisekedi
 
Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/05 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/05 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/05 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Ulaya

Mvutano wa kisiasa waendelea kuikumba Italia

media Afisa wa zamani wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Carlo Cottarelli akiongea na waandishi wa habari baada ya kukutana na Rais wa Italia Sergio Mattarella, Italia, Mei 28, 2018. ©REUTERS/Tony Gentile

Waziri mkuu wa Italia ameendelea kuliunganisha pamoja baraza la mawaziri nchini humo licha ya kukataliwa na mwanasiasa mashuhuri zaidi ambaye jitihada zake kushika madaraka ziligonga mwamba.

Carlo Cottarelli, mtaalamu wa uchumi wa zamani katika taasisi ya fedha ya kimataifa IMF alikataliwa na rais Sergio Mattarella, hatua iliyosababisha sauti za kulaani uamuzi wa rais.

Italia, mojawapo ya nchi yenye uchumi mkubwa katika Umoja wa Ulaya, imeingia katika mgogoro baada ya Rais Sergio Mattarella mwishoni mwa wiki kukataa uteuzi wa serikali ambao ulimpa uwaziri wa fedha mtaalamu wa zamani wa uchumi katika IFM.

Hatua hiyo imesababisha waziri mkuu wa nchi hiyo kujiuzulu ikimaanisha harakati za pande mbili kuunda serikali zikishindikana.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana