Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 16/01 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 16/01 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 16/01 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Habari mpya kabisa
Ulaya

May Day: Watu 200 wakamatwa baada ya vurugu Ufaransa

media Wanaharakati 1,200 kutoka kundi la Bloc Black walikusanyika mbele ya msafara wakati wa gwaride la Mei 1 huko Paris. REUTERS/Philippe Wojazer

Polisi jijini Paris nchini wanasema waliwakamata waandamanaji karibu 200 walioharaibu magari ya watu na kuchoma maduka wakati wakiandamana wakati wa siku ya kimataifa ya wafanyakazi.

Polisi inasema ilihesabu watu 20,000 na wengine 14,500 waliokua mbali na msafara wa shirikisho la vyama hivyo, ikiwa ni pamoja na wanachama 1,200 wa kundi lenye msimamo mkali la "Black Blocks", waliohusika na vurugu kando ya maadhimisho hayo. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amelaani vurugu hizo akisema zilichochewa na kundi dogo la watu ambao walipoteza maadili.

Shirikisho la vyama wafanyakazi CGT nchini Ufaransa limesema kuwa katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wafanyakazi uliwakusanya watu 55,000 mjini Paris pekee dhidi ya 80,000 mwaka jana.

Makabiliano yalianza kati ya polisi na wanaharakati wa kundi la"Black Blocs" karibu na kituo cha magari cha Austerlitz huko Paris, Mei 1. Stéphane Lagarde/RFI

Waandamanaji hao walikuwa wakiandamana kupinga mabadiliko ya kazi yaliyofanywa na serikali ya rais Emmanuel Macron.

Polisi wanasema, watu zadi ya 1200 waliokuwa wamejifunika nyusa zao, walivamia maandamano ya amani yaliyokuwa yameandaliwa na vyama vya wafanyakazi nchini humo.

Mwanaharakati wa kundi la Bloc Black akipita mbele ya gari likiwaka moto karibu na ofisi za kampuni ya Renault iliyoshambuliwa huko Paris. REUTERS/Christian Hartmann

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana