Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 24/04 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 24/04 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 23/04 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Haraka
Kundi la Islamic State (IS) ladai kuhusika na mashambulizi nchini Sri Lanka bila hata hivyo kutoa maelezo zaidi (Amaq)
Ulaya

Ufaransa yaomboleza kifo cha askari wake aliyepambana na gaidi

media Luteni kanali Arnaud Beltramea shujaa wa Ufaransa aliyefariki dunia kufuatia kisa cha Ugaidi Gendarmerie Nationale/Handout via REUTERS

Rambirambi zimeendelea kumiminika nchini Ufaransa kufuatia kifo cha askari Mfaransa aliyepambana na mshambuliaji mtiifu kwa kundi la kijihadi la Islamic state.

Luteni kanali Arnaud Beltrame,aliyekuwa na umri wa miaka 44,alifariki dunia jumamosi baada ya kujeruhiwa kwa risasi na kisu alipokuwa akipambana na mshambulizji aliyeteka watu kadhaa katika duka moja la jumla kusini magharibi mwa Ufaransa.

Beltrame anakuwa mtu wa nne kufariki kufuatia kisa hicho cha ijumaa ambacho Vyombo vya usalama vilimuua mtekaji ambaye anaaminika kuwa na asili ya Morocco na alikuwa kwenye orodha ya watu waliokuwa wakifuatiliwa kwa kuwa washirika wa kundi la Islamic State.

Kabla ya kuwateka watu kwenye duka la jumla mtuhumiwa huyo alitekeleza mashambulizi matatu tofauti kwenye mji wa Carcassonne na jirani na kitongoji cha Trebes.

Shambulizi hilo baya limelaaniwa na kukemewa na raisi wa Ufaransa Emanuel Macron.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana