Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 23/02 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 23/02 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 23/02 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Ulaya

Dhoruba yapiga Uholanzi, watatu wapoteza maisha

media La tempête tropicale Hanna, au sud-est de la Floride le 2 septembre 2008. Kimbunga cha Kitropiki Hanna kilichopiga kunsini mashariki mwa Florida mnamo Septemba 2, 2008. (Photo : Reuters)

Dhoruba kali ilipiga nchini Uholanzi leo Alhamisi, na kusababisha vifo vya watu watatu, huku safari za ndege zikifutwa. Watu walitakiwa kubaki nyumbani.

Upepo mkali unaokwenda kilomita 140 kwa saa uling'oa miti ku na kuharibu magari

Watu watatu waliuawa kwa kuangukiwa na miti vitu vizito, polisi imesema.

Safari za ndege kuwasili au kutoka kwenye uwanja wa ndege wa Amsterdam-Schiphol zimesimamishwa kwa muda mfupi. Ndege zisizopungua 260 zililazimishwa kufuta zafari.

Dhoruba hii pia ilizorotesha usafiri kwa kutumia reli na barabara.

Nchini Ujerumani, shirika la reli la Deutsche Bahn imesimamisha safari zake zote katika eneo la Land Kaskazini mwa Westphalia, eneo lenye watu wengi zaidi nchini.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana