Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 15/12 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 15/12 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 15/12 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Ulaya

Papa Francis awataka Wakristo kuwa wakarimu kwa Wahamiaji

media Papa Francis akielezea Wakristo madhila yanayowakuta Wahamiaji. Osservatore Romano/Handout via REUTERS

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amewataka Wakristo bilioni 1,3 duniani kutopuuza majanga yanalowakumba mara kwa mara wahamiaji "wanaofukuzwa kutoka nchi zao" na viongozi ambao wako tayari "kumwaga damu kwa watu wasio kuwa na hatia".

Kauli hiyo Papa Francis aliitoa hotuba ya kukaribisha Sikukuu ya Krismasi, huku akiwatolea wito kuwa wakarimu kwa wahamiaji.

Papa Francis, ambaye anajulikana kwa jina lake aliopewa na wazazi wake Jorge Bergoglio, mjukuu wa wahamiaji kutoka Italia, alizungumzia kuhusu hatima ya wakimbizi, miaka mitano baada ya kuchukua uongozi wa Kanisa Katoliki duniani.

"Hakuna mtu anayepaswa kuhisi kuwa hana mahali hapa duniani," alisema katika hotuba yake ya jadi ya Krismasi.hayo yanajiri wakati ambapo kumeendelea kushuhudiwa makabiliano kati ya waandamanaji wa Kipalestina na wanajeshi wa Israel na kufikia siku ya Jumapili, rais wa Palestina 12 walipoteza maisha.

Uamuzi wa Marekani, umeelezwa na washirika wa Palestina kuwa, umehatarisha uwezekano wa kupatikana kwa amani kati yake na Israel.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana