Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/02 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/02 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/02 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Ulaya

Euro 2016: vikosi vya usalama na ulinzi vyatoa ulinzi wa kutosha

media Vikosi vya usalama na ulinzi vikiwa tayari kutoa ulinzi katika maeneo mbalimbali kwa ajili ya michuano ya Kombe la Ulaya (Euro 2016). AFP/ Jacques DEMARTHON

Vikosi vya usalama vimefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi watu kati ya 557 na 344 tangu kuanza kwa michunao soka ya Kombe la Ulaya, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa, Bernard Cazeneuve, ametangaza Jumatatu wiki hii.

Siku kumi baada ya kuanza kwa michuano hiyo, Bernard Cazeneuve amesema kuwa mashabiki 21 walifukuzwa, kulitangazwa "uamuzi mkali wa kifungo kwa idadi ya mashabiki kadhaa wanaochochea na kuhusika katika vurugu", pamoja na uwezekano kuondoka katika ardhi ya Ufaransa.

Askari na askari polisi 70,000 walitumwa katika maeneo mbalimbali kwa ajili ya tukio hili muhimu, ambapo nusu ya mechi tayari zimechezwa, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa amekumbusha.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana