Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/01 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/01 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 25/01 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Ulaya

Shambulio Paris: mtuhumiwa wa tisa ashtakiwa Ubelgiji

media Mwili wa mtu aliyeuawa ukiondolewa chini ya vifusi baada ya shambulio ambapo Hasna Aitboulahcen na Abdelhamid Abaaoud waliuawa Novemba 18, 2015 katika mji wa Saint-Denis, karibu na mji wa Paris. AFP/AFP/

Mtuhumiwa wa tisa amekamatwa na kushtakiwa knchini Ubelgiji kuhusiana na mashambulizi yaliotokea mjini Paris, nchini Ufaransa, Ofisi ya mashataka nchini Ubelgiji imeliambia Alhamisi hii shirika la habari la Ufaransa la AFP.

Ofisi ya mashtaka imethibitisha kwamba mtuhumiwa huyu alikua akiwasiliana na Abdelhamid Abaaoud anayetuhumiwa kuandaa mashambulizi hayo.

Baada ya mashambulizi ya kigaidi ya mjini Paris na kabla ya mashambulizi na Saint-Denis mshukiwa huyo aliye kamatwa aliwasiliana mara kadhaa na Hasna Aitboulahcen.

Hasna Aitboulahcen na Abdelhamid Abaaoud waliuawa katika mashambulizi hao, msemaji wa Ofisi ya mashitaka, Eric Van der Sypt, ameliambia shirika la habari la Ufaransa la AFP.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana