Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 07/12 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 08/12 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 08/12 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Ulaya

David Cameron ziarani Paris

media Waziri mkuu wa Ungereza, David Cameron anazuru Paris wiki zaidi ya moja baada ya kutokea kwa mashambulizi yaliogharimu maisha ya zaidi ya watu 130 jijini humo. REUTERS/Benoit Tessier

Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron anazuru jijini Paris nchini Ufaransa kukutana na rais François Hollande.

Ni ziara inayokuja baada ya Islamic State kushambulia jiji la Paris na kuwauwa watu zaidi ya 130 na wengine kujeruhiwa.

Viongozi hao watajdiliana kuhusu namna ya kuimarisha usalama katika ya mataifa yao na kwingineko barani Ulaya.

Tayari Uingereza imesema kuwa inatarajia kutumia zaidi ya Dola bilioni 18 nukta 2 kuimarisha Wizara ya ulinzi na kupambana dhidi ya ugaidi kwa muda wa miaka mitano ijayo.
 

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana