Makala haya Muziki Ijumaa Juma hili Ali Bilali anakuletea mkasa wa mwanamuziki wa DRCongo Koffi Olomide ambae Julay 22 alifukuzwa nchini Kenya baada ya mkanda wa Video ukimuonyesha akimpiga teke mnenguaji wake kwenye uwanja wa ndege Jomo Kenyatta, na baadae kuomba radhi, lakini licha ya kuomba msamaha, mahakama nchini mwake ilimuhuhukumu kifungo cha miezi 18 jela, ambatana naye kufaham mkasa mzima ulivyokuwa. Mfollow pia kwa instagram @billy_bilali
Vipindi vingine
-
Muziki Ijumaa
Katika kipindi hiki mtangazaji wa zamu anakuchezea kibao unachokipenda kwenye redio kila siku ya Ijumaa.27/04/202410:04 -
Kwenye Makala ya Muziki hapa RFI tunakuchezea kibao unachokipenda
Florence Kiwuwa amekuchezea ombi lako kwenye makala ya wiki hii ya muziki Ijumaa.19/04/202410:40 -
Burudani ya Muziki na Jupiter Mayaka
Muziki hutoa hamasisho, elimu, burudani, husaidia kukumbuka mambo na pia huondoa msongo na kuboresha afya.18/11/202310:00 -
10:09
-
BURUDANI YA MUZIKI IJUMAA
Wiki hii Florence Kiwuwa amekuchezea muziki uliomuomba akucheze kwenye redio15/09/202310:03