Pata taarifa kuu
Muziki Ijumaa

Ali Kiba ndani ya RFI Kiswahili sehemu ya Kwanza

Imechapishwa:

Makala ya Muziki Ijumaa inakuletea msanii wa Bongo Fleva ambaye alikuwa kimya tangu kipindi kadhaa na sasa amerejea ulingoni kudhihirisha kipaji chake kwa mashabiki wake kutoka katika maeneo mbalimbali ya dunia. Ungana na Ali Billy Bilali katika sehem ya kwanza ya makala haya. unaweza pia kumfollow kwenye instagram:billy_bilali na Twitter:papaj4. Karibu.

Msanii wa Bongo Fleva Ali Kiba ndani ya RFI Kiswahili
Msanii wa Bongo Fleva Ali Kiba ndani ya RFI Kiswahili RFI/BILALI
Matangazo ya kibiashara

Vipindi vingine
  • 10:04
  • 10:40
  • 10:00
  • 10:09
  • 10:03
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.