Pata taarifa kuu

Moja ya vitongoji duni Mayotte chakumbwa na operesheni bomoa boma

Moja ya maeneo duni ya nchi ya Mayote limekumbwa  na operesheni bomo bomoa kama sehemu ya Operesheni "Wuambushu", operesheni iliyoanzishwa mwezi uliopita na mamlaka ya Ufaransa, ikidai, kupambana dhidi ya uhalifu na uhamiaji haramu. Na hii ni operesheni kubwa kwa kubomoa makazi duni ambapo wahamiaji hawa, wengi wao kutoka Comoro, wako. 

Huko Majikavo, kaskazini mashariki mwa Mayotte, ambapo baada ya kusitishwa mwishoni mwa mwezi Aprili, operesheni ya bomoa bomoa dhidi ya eneo tuni ya Talus 2 ilizinduliwa asubuhi ya Mei 22.
Huko Majikavo, kaskazini mashariki mwa Mayotte, ambapo baada ya kusitishwa mwishoni mwa mwezi Aprili, operesheni ya bomoa bomoa dhidi ya eneo tuni ya Talus 2 ilizinduliwa asubuhi ya Mei 22. © Lola Fourmy/RFI
Matangazo ya kibiashara

Na mwandishi wetu maalum huko Mayotte, Lola Fourmy

Huko Majikavo, kaskazini mashariki mwa Mayotte, ambapo baada ya kuisitishwa mwishoni mwa mwezi Aprili, operesheni ya bomoa bomoa kitondoji duni cha Talus 2 imeizinduliwa asubuhi ya leo.

Maafisa wa Polisi walifika jana usiku katika wilaya hii ya Majikavo kaskazini mashariki mwa kisiwa hicho. Usiku huo, majibizano makali ya ufyatulianaji risasi yalifanyika kati ya maafisa a usalama na baadhi ya vijana wa eneo hili, lakini hakuna tukio kubwalililoripotiwa. Na asubuhi ya leo Talus 2 imezingirwa na lori za polisi, hali inayoondoa mashaka, huo ndio tunaita utaratibu, unaendelea ili kuhakikisha hakuna mtoto aliyebaki kwenye banga, makazi haya ya mabati, kulingana na maneno ya mamlaka ya mkoa.

Wakazi wa Talus 2 wajiandaa kwa ubomoaji wa makazi yao duni

Wengi wa wakaazi 400 wanaoishi huko Talus 2, waliondoka jana, walikusanya kila kitu ambacho kinaweza kukusanywa siku nzima, ni watoto wachache tu ambao bado wanajaribu kurudi katika eneo hili.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.