Pata taarifa kuu
URUSI- UKRAINE MAPIGANO

Ukraine: Rais Zelensky azikikosa nchi za Magharibi

Rais wa Ukraine, Volodymry Zelensky, amezikosoa nchi za magharibi na kuhoji uamuzi wao wa kutuma magari maalumu ya kujilinda badala ya vifaru, matamshi ambayo huenda yakaibua mjadala na washirika wake.

Volodymyr Zelensky, Rais wa Ukraine
Volodymyr Zelensky, Rais wa Ukraine © AP/Carolyn Kaster
Matangazo ya kibiashara

Kwa muda sasa Ukraine, imekuwa ikizitaka nchi za Ulaya kutoa vifaru vya kivita badala ya magari kinga, akisema vingesaidia katika vita yake dhidi ya Urusi.

“Ufaransa imefungua ukursa mpya kwa nchi za Ulaya kwa kusaidia Ukraine kujilinda na namshukuru rais Macron sana.”amesema rais Zelensky.

Hata hivyo ni Ufaransa pekee ndio imesema itatua vifaru vya kivita kujaribu kuwasaidia wanajeshi wa Ukraine.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.