Pata taarifa kuu
UFARANSA- SAUDI ARABIA

Mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman kuzuru Paris

Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, hivi leo anatarajiwa kuwa mwenyeji wa mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman, jijini Paris, Macron akipuuza wakosoaji wake licha ya kiongozi huyo kudaiwa kuhusika na mauaji ya mwanahabari Jamal Khashoggi. Minzile Ijai, ana maelezo Zaidi......

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman VIA REUTERS - SAUDI ROYAL COURT
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.