Pata taarifa kuu
Italia - Siasa

Italia: Waziri mkuu kuendelea kuhudumu, baada ya kujiuzulu

Afisi ya rais nchini Italia, imesema waziri mkuu Mario Draghi, ataendelea kuhudumu hadi pale waziri mkuu mpya atapochaguliwa, hii ni baada ya Draghi kuwasilisha barua yake kujiuzulu mapema leo.

Waziri mkuu wa Italia Mario Draghi katika mkutano na waandishi wa habari huko Roma mnamo Julai 12, 2022.
Waziri mkuu wa Italia Mario Draghi katika mkutano na waandishi wa habari huko Roma mnamo Julai 12, 2022. AP - Mauro Scrobogna
Matangazo ya kibiashara

Hata hivyo taarifa kutoka kwa afisi ya rais Sergio Mattarella, hajasema iwapo rais huyo atalivunja bunge au kuitisha uchaguzi wa mapema.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.