Pata taarifa kuu
SIASA-UFARANSA

Chama cha Kisosholisti nchini Ufaransa chaunda muungano

Baraza la chama cha Kisosholisti nchini Ufaransa, limeidhinisha muungano na vyama vingine vitatu na vyama vingine vya mrengo wa kushoto, ili kuunganisha nguvu kuelekea uchaguzi wa wabunge mwezi Juni.

Mmoja wa viongozi wa chama cha Kisosholisti nchini Ufaransa  Pierre Jouvet
Mmoja wa viongozi wa chama cha Kisosholisti nchini Ufaransa Pierre Jouvet AFP - EMMANUEL DUNAND
Matangazo ya kibiashara

Asilimia 62 ya wanasiasa walikubaliana na uamuzi huo, baada ya saa kadhaa za mashauriano na mjadala.

Ripoti zinasema kuwa, mjadala huo wa saa nne, haukufurahia uamuzi huo akiwemo rais wa zamani, François Hollande , kikiwemo La France Insoumise (France Unbowed or LFI), the Greens kile cha  Communist Party (PCF) .

Wanachama 167, walipiga kura kuunga mkono , 101 wakapiga kukanusha na 24 hawakupiga kura.

Mkataba wa makubaliano unaeleza kuwa chama cha Kisosholisti kitachukua asilimia 70 ya nafasi bungeni katika Bunge lenye wabunge 577 huku vyama vingine vitatu, vitapamba katika viti vilivyosalia.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.