Awamu ya kwanza ya amani kuhusu mzozo wa Burundi, yamemalizika mjini Arusha nchini Tanzania.Imekubaliwa kuwa mazungumzo hayo yatarejelewa tena baada ya majuma mawili yajayo na muungano wa upinzani CNARED kushirikishwa.Tumejadili hili katika Makala yetu ya kila Jumatano ya Mjadala wa wiki