Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

Hali ya kisiasa nchini Burundi

Imechapishwa:

Maandamano yanaendelea kushuhudiwa nchini Burundi, kumshinikiza rais Piere Nkurunziza kuachana na mpango wa kuwania urais kwa muhula wa tatu nchini humo mwezi Juni.Juma lililopita kuliwa na mpango wa kumpindua Nkurunziza.Tunaendelea kujadili hali ya kisiasa nchini humo na maandamano yanayoendelea kushuhudiwa.

Waandamanaji jijini Bujumbura nchini Burundi
Waandamanaji jijini Bujumbura nchini Burundi REUTERS/Jean Pierre Harerimana
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.