Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

Maadhimisho ya miaka 20 ya mauaji ya kimbari nchini Rwanda,dunia yajifunza mengi

Imechapishwa:

Mjadala wa wiki unaangazia siku ya tatu ya maombolezo baada ya kutimia miaka 20 tangu kutokea mauaji ya Kimbari,dunia inajifunza nini,kwanini mpaka sasa matokeo ya uchunguzi wa shambulio la ndege iliyobeba maraisi wa Burundi na Rwanda hayajawekwa hadharani?kujua hayo na mengine,tunajiunga na wachambuzi wa siasa kutoka Kenya Wakili Ojwang Agina na Abdulkarim Atiki kutoka Dar es salaam Tanzania.

Studi RFI Kiswahili jijini Dar es Salaam
Studi RFI Kiswahili jijini Dar es Salaam RFI/BILALI
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.